Diskava. Beta. Kava
Kupata bima ya gari nchini Kenya haifai kuwa ngumu au ghali. Kwa kupitia Imana Insurance Agency Kenya Ltd na MyKava Insurance Shop, unaweza linganisha bei, chagua bima nafuu na ununue papo hapo mtandaoni au WhatsApp.
Tunatoa vifurushi kwa kila dereva, iwe unaendesha gari binafsi, taxi ya PSV, pick-up ya biashara, au pikipiki ya boda boda. Pia tunaongeza Bima ya COMESA Yellow Card kwa wanaosafiri Afrika Mashariki na Kati.
Kwa wasafiri wa kikazi au kibiashara kuvuka mipaka (Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia n.k.), Yellow Card hukulinda nchi nyingi kwa cover moja.
Usitegemee bahati barabarani. Linganisha, okota, na ununue bima yako kwa urahisi.
📲 WhatsApp/Simu: 0796 209 402 | 0745 218 460 | 0113 806 810
🌐 Tembelea: www.imana.co.ke | www.mykava.co.ke
📍 Ofisi: 4th Floor, Krishna Centre, Woodvale Grove, Westlands, Nairobi
1. Bima ya bei rahisi zaidi Kenya ni ipi?
TPO ndiyo rahisi zaidi, kuanzia KSh. 1,500 kwa pikipiki na KSh. 4,560 kwa magari binafsi.
2. Kwa nini Comprehensive ni ghali zaidi?
Kwa sababu inalinda pia gari lako dhidi ya wizi, moto, na ajali – sio watu wa nje pekee.
3. Naweza pata cheti kwa muda gani?
Ndani ya dakika 15 kupitia WhatsApp baada ya malipo.
4. Naweza nunua bima mtandaoni bila kufika ofisini?
Ndiyo kabisa. Quotes, malipo kwa M-Pesa, na cheti vyote hupatikana online.